Aisee bado sijarudi. Nadhani hadi mwisho wa mwezi nitakuwa huko, yaani nipo kama wale mbwa mwitu unao watupiaga humu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwema mkuu
Mungu akubariki sana. Laiti wote tungeyaishi maneno haya hakika Amani ingetawala kila kona....Tunafundishana ili tuweze kupambana na vikwazo. Maisha ya sasa hayana ujana wala uzee, mahitaji ni yale yale kwa wote. Mwili wenye afya ndio mtaji wetu...
Mwanaume kushuka kwa mwanamke sio uzwazwa(ikiwa tu mnagombana kwenye kitu cha maendeleo) wala haupungukiwi kitu chochote
Karibu binti mcheshi, furaha ya ubongo wangu, suzio la uso wangu...[emoji23][emoji23][emoji23]basi nitalipa mwenyewe.
Majukumu na najua una mambo mengi,nitakutafuta kesho shem.
Karibu binti mcheshi, furaha ya ubongo wangu, suzio la uso wangu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amen.
Mengine ni kujiendekeza tu. Nikiwa na hamu ya kutongoza huwa Wife linamuangukia tongozo.... Na anajua kifuatacho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hako kapicha ukoweka kazuri[emoji12] [emoji12]Asante shem[emoji120]
Umekuja kuharibu upako sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo vizuri uncleeeUmekuja kuharibu upako sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23], mie mzima kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani kakataa basi?
Mzima maa?
[emoji124] [emoji124] Kwa uzee huu lazima uendeshe gari lenye ngazi za kupandiaDaah nime imagine kifuatacho ITV[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo vizuri uncleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mpaka kazini kwake habari lazima zifike..
[emoji124] [emoji124] Kwa uzee huu lazima uendeshe gari lenye ngazi za kupandiaView attachment 826048