Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahhaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahhaa
Duh! Hapana kwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli, afadhari mlevi...
Amin jirani[emoji120][emoji120][emoji120]ijumaa njema..Mungu atupe baraka zake
August1-8 wiki ya unyonyeshaji
Wasanii hawapendani kwakuwa wanaishi maisha ya Utesi na majungu. WATAPATA TABU SANA..Wakati msanii na kwanamitindo Jokate Mwegelo akiwa amemaliza kula kiapo muda mfupi uliopita , hakuna msanii hata mmoja aliyeonekana katika sherehe hiyo hapa Kibaha.
Jokate ambaye pia msanii na mwanamitindo wengi walitatajia kuwaona wasanii katika eneo hilo lakini haikuwa hivyo.
Anashikika vipi sasa hapo?Makungwi wanafundisha umalaya tu wala hakuna lingine, figa moja, mawili hayafai, mpaka mafiga matatu...Mwali akitoka hapo hashikiki.
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…
Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:
BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona prado v8 langu lime paki ndani?
SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili yaliyoisha upepo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saizi sekretari anakabidhi mafaili nadhani anapelekwa Ulaya[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], umeongea busara nyingi mno, ila huko kwingine kumenifanya nicheke....Kama ulichokishauri ndicho unachokitenda kwa mkeo, Mungu aendelee kuwabariki muishi maisha ya furaha + amani siku zote ..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukiachana na maisha ya hapa JF, hakuna kilicho afadhali kati ya umalaya na ulevi kwenye ndoa.
Wanandoa wanatakiwa waishi kama watoto wanao tegemeana, mwanaume ukikorofishwa/ukipata ubuyu huko, sehemu ya kupumulia ni kwa rafiki/msiri wako, vivyo hivyo mke akipata ubuyu/kakwazana na wenziye huko sehemu pekee ya kujieleza bila kupingwa pingwa ni kwa mume wake.
Wanaume kuna kuchepuka kwa kuteleza/tamaa ya kuvumbua kilichomo kwenye msambwanda uliouona. Ikitokea hivyo chonde usiwekeze kwake, tena hata jina lake lisikae kichwani mwako.
UTAWEZAJE KUJENGA URAFIKI NA MKE WAKO?
Rahisi tu...
1.pendelea kucheka stori zake za huko insta au kazipata mtaani
2.cheza muziki anaoupenda kivingine ili akukosoe
3.siku zingine muibie gauni la kulalia alilojiandaa siku hiyo halafu livae
.jifanye huzioni boxer zako vaa lichupi lake, hakika litakupwelepweta na fenesi litatokea nje halafu muite akuone
5.msaidie kupika,mnakuwa wote jikoni(napenda sana kusonga ugali) huku fenesi likionekana kwa mbaaaali laivu...
6.itaneni majina ya kitoto maana kwa vyovyote mtakuwa mmesimuliana maisha ya zamani.
7.usimnyime uhuru wa kusimulia mahusiano yake ya zamani, kama aliumizwa na ukashiriki kuumia nae japo ni ya zamani anajihisi amepata mtu sahihi...
MIMI NI BABA WA MKE WANGU, YEYE NI MAMA YANGU KIPENZI.
TUMEKUWA MARAFIKI KWA MUDA MREFU SANA, WATOTO WETU WANAJUA HILO. SISI SIO WANANDOA MAANA TUNAOGOPA KUAMRISHANA.
HATUJAWAHI KUPIGANA, ILA NIMEWAHI KUMTUKANA "pumbavu" miaka kumi iliyo pita. Bado hilo tusi linamtesa hadi saa hizi.
Kuna siku nilimkosea, alilia sana, akaniuliza "unajua wewe ni yatima? Sitakiwi kukufanyia kwazo lolote maana mimi nina wazazi" Ujinga wangu nilivyo utambua nikaamua kuwa mpumbavu hadi dakika hii...
Jitahidini kuishi kiurafiki kuliko kindoa ili maisha yenu yawe ya furaha...
Tumtegemee Mungu kwa kila jambo, tamaa mbele mauti nyuma
...ulevi ni dhambi, umalaya ni laana...
Dau lake haliendani na umri alionao,Sasa ni wazi kwamba klabu yoyote inayotaka kumsajili kiungo huyo wa kati ambaye alikabidhiwa taji la mchezaji bora katika kombe la dunia atalazimika kulipa £670m katika kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32.
Modric amehusishwa na uhamisho wa Inter Milan.
Hatari kabisa...Anashikika vipi sasa hapo?
Halafu siku hizi huko mjini waliotalikiwa wengi ndo makungwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukiachana na maisha ya hapa JF, hakuna kilicho afadhali kati ya umalaya na ulevi kwenye ndoa.
Wanandoa wanatakiwa waishi kama watoto wanao tegemeana, mwanaume ukikorofishwa/ukipata ubuyu huko, sehemu ya kupumulia ni kwa rafiki/msiri wako, vivyo hivyo mke akipata ubuyu/kakwazana na wenziye huko sehemu pekee ya kujieleza bila kupingwa pingwa ni kwa mume wake.
Wanaume kuna kuchepuka kwa kuteleza/tamaa ya kuvumbua kilichomo kwenye msambwanda uliouona. Ikitokea hivyo chonde usiwekeze kwake, tena hata jina lake lisikae kichwani mwako.
UTAWEZAJE KUJENGA URAFIKI NA MKE WAKO?
Rahisi tu...
1.pendelea kucheka stori zake za huko insta au kazipata mtaani
2.cheza muziki anaoupenda kivingine ili akukosoe
3.siku zingine muibie gauni la kulalia alilojiandaa siku hiyo halafu livae
.jifanye huzioni boxer zako vaa lichupi lake, hakika litakupwelepweta na fenesi litatokea nje halafu muite akuone
5.msaidie kupika,mnakuwa wote jikoni(napenda sana kusonga ugali) huku fenesi likionekana kwa mbaaaali laivu...
6.itaneni majina ya kitoto maana kwa vyovyote mtakuwa mmesimuliana maisha ya zamani.
7.usimnyime uhuru wa kusimulia mahusiano yake ya zamani, kama aliumizwa na ukashiriki kuumia nae japo ni ya zamani anajihisi amepata mtu sahihi...
MIMI NI BABA WA MKE WANGU, YEYE NI MAMA YANGU KIPENZI.
TUMEKUWA MARAFIKI KWA MUDA MREFU SANA, WATOTO WETU WANAJUA HILO. SISI SIO WANANDOA MAANA TUNAOGOPA KUAMRISHANA.
HATUJAWAHI KUPIGANA, ILA NIMEWAHI KUMTUKANA "pumbavu" miaka kumi iliyo pita. Bado hilo tusi linamtesa hadi saa hizi.
Kuna siku nilimkosea, alilia sana, akaniuliza "unajua wewe ni yatima? Sitakiwi kukufanyia kwazo lolote maana mimi nina wazazi" Ujinga wangu nilivyo utambua nikaamua kuwa mpumbavu hadi dakika hii...
Jitahidini kuishi kiurafiki kuliko kindoa ili maisha yenu yawe ya furaha...
Tumtegemee Mungu kwa kila jambo, tamaa mbele mauti nyuma
...ulevi ni dhambi, umalaya ni laana...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…
Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:
BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona prado v8 langu lime paki ndani?
SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili yaliyoisha upepo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saizi sekretari anakabidhi mafaili nadhani anapelekwa Ulaya[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amen.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], umeongea busara nyingi mno, ila huko kwingine kumenifanya nicheke....Kama ulichokishauri ndicho unachokitenda kwa mkeo, Mungu aendelee kuwabariki muishi maisha ya furaha + amani siku zote ..
Shemeji umenitega[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umesema mlevi hana maendeleo halafu umesema niagize za bukubuku?!!! Ni nini hizooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji huyu ni wewe?
Agiza zile za bukubuku nalipa kwa tigo pesa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mwanaume mlevi hana maendeleo mana kila senti atakayoipata itaishia bar,na mwanaume malaya vilevile wote wako sawa hakuna mwenye afadhali.
Hakuna mahusiano mazuri kama yale yanayo/yaliyojengwa kwenye misingi mizuri ya urafiki.
Kiongozi habari yakoAmen.
Mengine ni kujiendekeza tu. Nikiwa na hamu ya kutongoza huwa Wife linamuangukia tongozo.... Na anajua kifuatacho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji bhana,we agiza bili iende kwa SHIMBA YA BUYENZE .Shemeji umenitega[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umesema mlevi hana maendeleo halafu umesema niagize za bukubuku?!!! Ni nini hizooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]