[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amen.
Mengine ni kujiendekeza tu. Nikiwa na hamu ya kutongoza huwa Wife linamuangukia tongozo.... Na anajua kifuatacho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama mkuu kwema?Kiongozi habari yako
Salam kakake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shimba halisi au huyu wa Jf? Shimba halisi atamwaga vifungu hadi pombe nitaiona maji yaliyo changanyika na kinyesi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji bhana,we agiza bili iende kwa SHIMBA YA BUYENZE .
Nimekumiss halafu tangu jana nakuwaza ujue??
Hongera sana; Mungu awabariki sana.Amen.
Mengine ni kujiendekeza tu. Nikiwa na hamu ya kutongoza huwa Wife linamuangukia tongozo.... Na anajua kifuatacho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema mkuuSalama mkuu kwema?
Alhamdulillah, habari yakoSalam kakake
[emoji23][emoji23][emoji23]basi nitalipa mwenyewe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shimba halisi au huyu wa Jf? Shimba halisi atamwaga vifungu hadi pombe nitaiona maji yaliyo changanyika na kinyesi...
Nipo mama tena jana nilitaka nikurukie hata sijui nikatingwa na nini?!!
Unampongeza kwa busara zake halafu bado wamtaka azungushe meza[emoji23].....Vibaya hivoo.Shemeji huyu ni wewe?
Agiza zile za bukubuku nalipa kwa tigo pesa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mwanaume mlevi hana maendeleo mana kila senti atakayoipata itaishia bar,na mwanaume malaya vilevile wote wako sawa hakuna mwenye afadhali.
Hakuna mahusiano mazuri kama yale yanayo/yaliyojengwa kwenye misingi mizuri ya urafiki.
Mie bukheri kabisa kakaAlhamdulillah, habari yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani kakataa basi?Unampongeza kwa busara zake halafu bado wamtaka azungushe meza[emoji23].....Vibaya hivoo.
Ahsante kwa ujumbeHongera sana; Mungu awabariki sana.
Zaburi 1:1-3