Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

poleni mnaolea
DjVHXWLWwAEM7Go.jpg:large
 
Halafu tutegemee hiyo ndoa idumu na mwali akawe na adabu kwenye ndoa yake[emoji23][emoji23][emoji23]
We kungwi anakufundisha ukibeba ndoo beba na vidumu viwili mkononi incase ndoo ikidondoka,mfyuuuu!!
Kikubwa wanachofaidia hao wafundwaji ni mauno tu basi hakuna kingine
Makungwi wanafundisha umalaya tu wala hakuna lingine, figa moja, mawili hayafai, mpaka mafiga matatu...Mwali akitoka hapo hashikiki.
 
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:

SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…

Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.

Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:

BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona prado v8 langu lime paki ndani?

SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili yaliyoisha upepo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Saizi sekretari anakabidhi mafaili nadhani anapelekwa Ulaya[emoji2][emoji2]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahhaa
 
Back
Top Bottom