Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani mtu ukifumaniwa ni soo aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
446423383_230762.jpg
 
MAYAI YA KUKU WA KISASA YANAPATIKANA KWA WINGI KWA BEI MUAFAKA - Dar es Salaam
Piga Simu: 0767157788 / 0786157788
Au fika dukani kwetu: Majumba sita (mita 800 kutoka mataa ya Airport kama unaelekea Gongo la Mboto), jirani na kituo cha daladala cha Majumba sita
•
Bei ya jumla ya sasa sokoni ni TSh 8,000 kwa tray 1 ya mayai
•
Kwa ndani na nje ya Dar es Salaam, kwa atakaye hitaji kutumiwa mayai, nauli itakuwa upande wake.
Wote mnakaribishwa kuanzia Wachuuzi, Wafanyabiashara wa Mahoteli, Migahawa, Bakery, Vibanda vya chips na watumiaji wa majumbani.
 
Msanii maarufu wa maigizo Amr Athuman ‘King Majuto’ amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jengo la Mwaisela wodi namba mbili katika chumba cha uangalizi maalumu ICU

Taarifa iliyotolewa na afisa habari wa Chama cha Waigizaji Kinondoni, Masoud Kaftany imeeleza kuwa Mzee Majuto amelazwa hospitalini hapo na tayari madaktari wameanza kufanya vipimo ili kubaini ugonjwa unaomsumbua.
 
Mzee Majuto amelazwa huku ikiwa umepita mwezi mmoja baada ya kutoka katika matibabu nchini India alikokwenda kufanyiwa matibabu ya nyonga na upasuaji wa tezi dume.
 
Back
Top Bottom