Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati msanii na kwanamitindo Jokate Mwegelo akiwa amemaliza kula kiapo muda mfupi uliopita , hakuna msanii hata mmoja aliyeonekana katika sherehe hiyo hapa Kibaha.
Jokate ambaye pia msanii na mwanamitindo wengi walitatajia kuwaona wasanii katika eneo hilo lakini haikuwa hivyo.
 
MCL imeongea na Meneja wa Miradi wa Jokate, Baraka Samweli alisema, mkuu huyo wa Wilaya ya Kisarawe ameambatana na familia yake , marafiki na wafanyakazi wa kampuni yake.
Magavila Mwegelo akiongea na MCL amesema amefurahishwa na uteuzi wa mdogo wake huyo na kwamba anamtakia kazi njema .
Pia amemuombea kwa Mungu atende yote aliyoyaapa kwenye kiapo alichokula leo hii na kwamba wao kama familia wanamuunga mkono na watampa sapati kubwa.
 
Pedro mwenye umri wa miaka 31 alijiunga na Blues kutoka Barcelona mnamo mwezi Agosti 2015 kwa dau la £21m na kuisaidia klabu hiyo kushinda taji la ligi ya Uingereza 2016-17 na Kombe la FA msimu uliopita.
 
Winga huyo wa Uhispania alifunga magoli 28 katika mechi 131 na alifunga katika mechi ya maandalizi ya msimu mpya dhidi ya Perth Glory na Inter Milan.
 
UTAFITI: Watafiti wa masuala ya usingizi wa Chuo Kikuu Loughborough wamedai mwanamke anahitaji muda mwingi wa usingizi kuliko mwanaume kwa kuwa ubongo wake ni tata zaidi kuliko mwanaume. Wamedai ubongo wa mwanamke unafanya kazi nyingi zaidi ikilinganishwa na wa mwanaume.
Djp4JMkW4AAwpyK.jpg
 
Mshambuliaji wa Nigeria Ahmed Musa ameondoka katika klabu ya Leicester City na kuelekea Al-Nassr kwa dau lisilojulikana , klabu hiyo ya Saudia imetangaza.
 
Mchezaji huyo wa Leicester mwenye umri wa miaka 25 ndio mchezaji aliyesainiwa kwa dau lililovunja rekodi wakati alipojiunga na klabu hiyo kwa kitita cha £16m kutoka CSKA Moscow mwaka 2016.
 
Lakini baada ya magoli mawili katika mechi 21, alirejeshwa kwa mkopo katika timu hiyo ya Urusi msimu uliopita.
 
Musa aliichezea Nigeria katika michuano iliopita ya kombe la dunia nchini Urusi , akifunga mabao mawili katika ushindi wa Nigeria dhidi ya Iceland.
 
Sasa ni wazi kwamba klabu yoyote inayotaka kumsajili kiungo huyo wa kati ambaye alikabidhiwa taji la mchezaji bora katika kombe la dunia atalazimika kulipa £670m katika kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32.

Modric amehusishwa na uhamisho wa Inter Milan.
 
When it comes to the start of breastfeeding, timing is everything. In many countries, it can even be a matter of life or death. New report:
DjcJl3LWwAEgg4W.jpg:large
 
Back
Top Bottom