Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Vision without action
is merely a dream.
Action without vision
just passes the time.
Vision with action
can change the world."
 
Huko aliko bado ana furaha sana. Mshukuru Mungu kwa nafasi kidogo aliyo kupa ya kumuonyesha mama upendo wa moja kwa moja.
Wengi wetu tumeikosa nafasi hiyo eidha kwa kutokutambua thamani ya mama au tuliachwa tukiwa wadogo.

Mungu awalaze mahali pema Peponi. Amen [emoji120] [emoji120]
 
Wakuu Hebu Jaza LIKE Nyingi Namimi Nionje Radha Yake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji230] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji230] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243]
Hia wi go ageini. Ng'ombe hawa wenye vichwa vikubwa kama madume ya siafu. Yalishaisha haya. Maadam unamtunza dada basi haina neno. Barikiweni [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Asante ndugu yangu. Kusema kweli nilibarikiwa na sikuzembea. Na namshukuru Mungu sana kwa kuniwezesha kufanya kidogo nilichoweza. Mama alikuwa rafiki yangu sana na tulifanya mengi pamoja ila ile safari yetu ya kuzunguka duniani huku na huko ndiyo itabakia kuwa highlights ya urafiki wetu. Tuwaache wapumzike salama huko waliko. Siku moja tutaungana nao [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Na mlio na mama jamani. Waangalieni sana na kamwe msidriki kukosana nao. Wakishaondoka wameondoka. Nina rafiki yangu mama yake aliondoka wakiwa hawasalimiani yaani anajuta mno. Mpaka huwa analia akikumbuka halafu kisa chenyewe ni ukorofi tu wa mkewe ambaye tayari walishaachana. Huzuni !!!
 
Kama ndicho kiswahili chake hakuna tatizo..... Kwani Uboho una maana nyingine tofauti na hiyo hapo juu ??
Wahaya, Wakerewe na baadhi ya makabila mengine huko watapata tabu sana kwa sababu wana shida ya irabu na h. Inapotakiwa kuwekwa h- wanaiondoa na isipotakiwa wanaiweka...Na katika uundaji wa istilahi inashauriwa sana kuepuka kuunda maneno ambayo yanakaribiana kimatamshi na maneno yaliyozoeleka hususan kama ni matusi kama hili. Wangetafuta kwenye lugha za Kibantu huko wangepata istilahi nzuri tu mbali na hii. Mnaitaje bone marrow kikwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…