[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu aniepushe na maandiko yaliyo zoeleka kwa mwezi huu.
Ni mwezi wa kipekee sana, mwezi huu miaka ishirini iliyopita pita, mwacheni Mungu aitwe Mungu [emoji120] [emoji120]
Rafiki yangu Mama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]...Mungu ni muweza wa yote.
Wakumbuka nini???
Tunampa pole..Mh. Dkt Hamis Kigwangwala amepata ajali asubuhi hii akitokea Arusha kabla ya Magugu na Mtu moja kapoteza Maisha.Mh. Kigwangwala yupo kituo cha Magugu hali siyo Nzuri.
Hiyo ya kupata taabu ipo sana, haikwepeki kwa yeyote afanyaye jeuri kwa wazazi wake wangali hai.. Kuna dada mmoja alimfanyia jeuri baba yake, hakuwa akimsikiliza, dharau nyingi....Basi yule enzi za uhai wake akatoa neno moja tu mwake " Utaishi kwa kutangatanga maisha yako yote" Baada ya miaka kama miwili hivi yule mzee akafariki..Kweli yale maneno yanamuishi yule mama, ana watoto kila mtoto na babake, anafanya biashara za kuzunguka mikoani mpaka mipakani huko lakini pesa haijulikani inatumikaje na iko wapi mbali ya kuchakarika kote huko.....Yaani anabadili biashara kulingana na misimu, msimu wa mpunga yumo, mahindi yumo, samaki yumo, matunda yumo...Pesa haionekani.....Akikaa na mwanaume miezi mi3 ni mingi, ashabadilisha, ndani ya mwaka anajikuta ana wanaume zaidi ya wanne....Anakwambia yeye ndiyo muoaji hivyo mwanaume akizingua anamfukuza analeta mwingine ( Anaishi nao kwake)....Walio bahatika kuisoma post hii na wapo na mama,tafadhali rudini na muwaombe msamaha kwa makwazo yoyote waliyo yapata.
Mzazi akisha kufa na hamkuwa na mahusiano mazuri, jiandae "kupata taabu saaaana kwa maisha yote ya uhai wako".
AiseeWangetafuta makabila ya kibantu kama matano hivi yenye maana sawa ya neno hili/ Kuendana...Wakalitohoa likatumika kusimamia maana ya neno hili badala ya UBOHO...
Mfano neno KITIVO...hili limetolewa huko kwa shemeji zako wala ugali kwa picha ya samaki..
Noted bro!!!Asante ndugu yangu. Kusema kweli nilibarikiwa na sikuzembea. Na namshukuru Mungu sana kwa kuniwezesha kufanya kidogo nilichoweza. Mama alikuwa rafiki yangu sana na tulifanya mengi pamoja ila ile safari yetu ya kuzunguka duniani huku na huko ndiyo itabakia kuwa highlights ya urafiki wetu. Tuwaache wapumzike salama huko waliko. Siku moja tutaungana nao [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Na mlio na mama jamani. Waangalieni sana na kamwe msidriki kukosana nao. Wakishaondoka wameondoka. Nina rafiki yangu mama yake aliondoka wakiwa hawasalimiani yaani anajuta mno. Mpaka huwa analia akikumbuka halafu kisa chenyewe ni ukorofi tu wa mkewe ambaye tayari walishaachana. Huzuni !!!
Kwema ndugu??Aisee
Oooh! Pole sana ndugu yangu, Mungu awe mfariji kwako daima[emoji120]Rafiki yangu Mama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!!!!Hiyo ya kupata taabu ipo sana, haikwepeki kwa yeyote afanyaye jeuri kwa wazazi wake wangali hai.. Kuna dada mmoja alimfanyia jeuri baba yake, hakuwa akimsikiliza, dharau nyingi....Basi yule enzi za uhai wake akatoa neno moja tu mwake " Utaishi kwa kutangatanga maisha yako yote" Baada ya miaka kama miwili hivi yule mzee akafariki..Kweli yale maneno yanamuishi yule mama, ana watoto kila mtoto na babake, anafanya biashara za kuzunguka mikoani mpaka mipakani huko lakini pesa haijulikani inatumikaje na iko wapi mbali ya kuchakarika kote huko.....Yaani anabadili biashara kulingana na misimu, msimu wa mpunga yumo, mahindi yumo, samaki yumo, matunda yumo...Pesa haionekani.....Akikaa na mwanaume miezi mi3 ni mingi, ashabadilisha, ndani ya mwaka anajikuta ana wanaume zaidi ya wanne....Anakwambia yeye ndiyo muoaji hivyo mwanaume akizingua anamfukuza analeta mwingine ( Anaishi nao kwake)....
*HIZI LAANA ZIPO*
Tujaribuni kuziepuka kabisa...tuishi maisha ya kumpendeza Mungu, wazazi na jamii kwa ujumla....
Andiko lako ni mafundisho kwetu.Hiyo ya kupata taabu ipo sana, haikwepeki kwa yeyote afanyaye jeuri kwa wazazi wake wangali hai.. Kuna dada mmoja alimfanyia jeuri baba yake, hakuwa akimsikiliza, dharau nyingi....Basi yule enzi za uhai wake akatoa neno moja tu mwake " Utaishi kwa kutangatanga maisha yako yote" Baada ya miaka kama miwili hivi yule mzee akafariki..Kweli yale maneno yanamuishi yule mama, ana watoto kila mtoto na babake, anafanya biashara za kuzunguka mikoani mpaka mipakani huko lakini pesa haijulikani inatumikaje na iko wapi mbali ya kuchakarika kote huko.....Yaani anabadili biashara kulingana na misimu, msimu wa mpunga yumo, mahindi yumo, samaki yumo, matunda yumo...Pesa haionekani.....Akikaa na mwanaume miezi mi3 ni mingi, ashabadilisha, ndani ya mwaka anajikuta ana wanaume zaidi ya wanne....Anakwambia yeye ndiyo muoaji hivyo mwanaume akizingua anamfukuza analeta mwingine ( Anaishi nao kwake)....
*HIZI LAANA ZIPO*
Tujaribuni kuziepuka kabisa...tuishi maisha ya kumpendeza Mungu, wazazi na jamii kwa ujumla....
[emoji106][emoji106]Andiko lako ni mafundisho kwetu.
Ahsante kwamba haujaandika ili upate "likes" bali umeamua kutoa somo kwa wale watakao vumilia kusoma gazeti na kulielewa.
Sio kila Jumamosi ni tarehe 4,tuendelee kufundishana ili tuweze kuishi maisha yenye amani pasipo majuto.
Mungu akutumie Pyaar[emoji120] [emoji120]
Kweli kabisa..Sijasimuliwa na mtu. Nimeyashuhudia.Aisee!!!!