Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sad story Pyaar!!!
Haya mambo yapo sana,, Wazazi wapo na nguvu sana na wanamaono sana,, akisema kitu then ukapuuzia basi maisha yako unaweka matatani

Hilo la kuoa,,, sijui kwa wengine aisee,, ila kwangu mm naangalia familia yake kwanza,, wanamahusiano gani na wazazi wake,,, japo siku hz tunakutana kimjini mjini tu,,, lkn suala la kujua familia yake na mahusiano yake ni kitu muhimu sana
Kweli.
Hata mkikutana kimjini mjini bado mnakuwa na nafasi kubwa ya kuomba mpelekane kwenu kama lengo ni kuishi pamoja kama mume na mke. Binti/kijana mwenye mahusiano mazuri/mabaya na familia yake utamgundua tu kipindi cha mahusiano yenu, kama utakuwa makini kuchunguza hilo.... Rafiki yako tu wa karibu ukiwa nae karibu sana utagundua kuwa huyu yupo vizuri na familia yake ama la!
 
Polee sana!! Mara paap! Heeeee! Waoooo, ufwaaaa! Ughwe umwana nkusyukilwe fijo, utwa masiku?? (Moms)..

Kwanini Carba azimie??

Hali hii iliyo tokea Zimbabwe ndio imenifanya mwezi huu uwe wa kipekee...
tapatalk_1533187150255.jpeg

Je, ni kweli alistahili kufa kifo hiki? Ameacha watoto wadogo kama nilivyoachwa mimi? Kama ndiyo, wataishi kama nilivyo ishi mimi na wadogo zangu? Mbona ni mateso!!!
Uvaaji na sehemu aliyo pigwa risasi inaonyesha dhahiri hakujiandaa kimaandamano.
Huyu hajafa, ila ameuawa. Naamini hata watoto "wameuawa" kifikra.
SIIPENDI SIASA....
 
Katazo la mzazi(namaanisha aliye kulea) halina negosiesheni. Kiburi au kinyume na hilo katazo ukifanya ni kujitakia mateso ya duniani na siku ya kiama utaumia zaidi kwa dhambi ya kutoheshimu wazazi.
Kama ukipata mpenzi, usikimbilie kutamka ndoa, tembeleaneni kwa wazazi wa pande mbili, hao ndio wataamua hatma ya maisha yenu.
Ndoa inayo tokana na mimba sio nzuri View attachment 826503
Kweli kabisa... Huo nao mtihani mwingine.
 
Hali hii iliyo tokea Zimbabwe ndio imenifanya mwezi huu uwe wa kipekee... View attachment 826505
Je, ni kweli alistahili kufa kifo hiki? Ameacha watoto wadogo kama nilivyoachwa mimi? Kama ndiyo, wataishi kama nilivyo ishi mimi na wadogo zangu? Mbona ni mateso!!!
Uvaaji na sehemu aliyo pigwa risasi inaonyesha dhahiri hakujiandaa kimaandamano.
Huyu hajafa, ila ameuawa. Naamini hata watoto "wameuawa" kifikra.
SIIPENDI SIASA....
[emoji24][emoji24][emoji24], Mungu atutie nguvu[emoji120][emoji120][emoji120].
 
Katazo la mzazi(namaanisha aliye kulea) halina negosiesheni. Kiburi au kinyume na hilo katazo ukifanya ni kujitakia mateso ya duniani na siku ya kiama utaumia zaidi kwa dhambi ya kutoheshimu wazazi.
Kama ukipata mpenzi, usikimbilie kutamka ndoa, tembeleaneni kwa wazazi wa pande mbili, hao ndio wataamua hatma ya maisha yenu.
Ndoa inayo tokana na mimba sio nzuri View attachment 826503
Hahahha kweli kabsa mzee,,, ndoa inayotokana na mimba mwsho wake huwa sio mzuri,,

Kwema mzee wangu?
 
[emoji24][emoji24][emoji24], Mungu atupe nguvu[emoji120][emoji120][emoji120].
Hata tukiomba atupe uvumilivu, kuna muda tunashindwa tunaishia kukufuru tu.
Ni nani mwenye uwezo wa kukabiliana na matukio kama haya? Anae amrisha kwa wengine wafanyiwe hivyo kwake ulinzi wake ni kilomita 10 nusu kipenyo. Familia yake haidhuriki mpaka Mungu aamue
 
Kweli.
Hata mkikutana kimjini mjini bado mnakuwa na nafasi kubwa ya kuomba mpelekane kwenu kama lengo ni kuishi pamoja kama mume na mke. Binti/kijana mwenye mahusiano mazuri/mabaya na familia yake utamgundua tu kipindi cha mahusiano yenu, kama utakuwa makini kuchunguza hilo.... Rafiki yako tu wa karibu ukiwa nae karibu sana utagundua kuwa huyu yupo vizuri na familia yake ama la!
Ni kweli mkuu,,,mihemko ya ajabu ajabu haitakiwi kabsaa,,,

Kwema huko Pyaar?
 
Hali hii iliyo tokea Zimbabwe ndio imenifanya mwezi huu uwe wa kipekee... View attachment 826505
Je, ni kweli alistahili kufa kifo hiki? Ameacha watoto wadogo kama nilivyoachwa mimi? Kama ndiyo, wataishi kama nilivyo ishi mimi na wadogo zangu? Mbona ni mateso!!!
Uvaaji na sehemu aliyo pigwa risasi inaonyesha dhahiri hakujiandaa kimaandamano.
Huyu hajafa, ila ameuawa. Naamini hata watoto "wameuawa" kifikra.
SIIPENDI SIASA....
Aisee,,, Siasa hz,,,
Mungu ampumzishe kwa amani!!!!
 
Hahahahha shukrani mzee andjul,,,,nipo najipanga kwa ajiri ya vikao vya September(supplementary),,,, maana kuna mitihani jinsi nilivoifanya matokeo nayajua mwenyew[emoji23] [emoji23]
Usitegemee Bwana atende miujiza[emoji23][emoji23]...

Utavuna ulichokipanda.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hali hii iliyo tokea Zimbabwe ndio imenifanya mwezi huu uwe wa kipekee... View attachment 826505
Je, ni kweli alistahili kufa kifo hiki? Ameacha watoto wadogo kama nilivyoachwa mimi? Kama ndiyo, wataishi kama nilivyo ishi mimi na wadogo zangu? Mbona ni mateso!!!
Uvaaji na sehemu aliyo pigwa risasi inaonyesha dhahiri hakujiandaa kimaandamano.
Huyu hajafa, ila ameuawa. Naamini hata watoto "wameuawa" kifikra.
SIIPENDI SIASA....
Yaani mimi naichukia siasa!
Aliye chaguliwa mwacheni akae hata kama kaiba kura, iko siku 40 yake itafika walahi!
Mambo ya kushabikia upinzani sitaki kusikia kabisa kabisa walahi!
That’s all!
 
Back
Top Bottom