andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Haya mambo ni magumu sana.Oooh! Pole sana ndugu yangu, Mungu awe mfariji kwako daima[emoji120]
WAFILIPI 4:13
"Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu".
Nyerere alikuwa rais, alikuwa anapata kila kitu, ila kila mara alipenda awe karibu na mamaake. Sasa ndio nimeanza kumuelewa ni kwanini....