Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimekuelewa, Kwa kikwetu tunaita "Omusononkoro" [emoji23]
 
Nimekuelewa, Kwa kikwetu tunaita "Omusononkoro" [emoji23]
Neno zuri tu. Hata wangelicheza na hili bila shaka wangepata neno zuri tu. Wangeomba msaada kwa mzee wa kusakata dogori pia wangesaidiwa.

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Haya sasa nataka omusononkoro kwenye supu yangu inisaidie kuzalisha uji wa kutosha [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Wangetafuta makabila ya kibantu kama matano hivi yenye maana sawa ya neno hili/ Kuendana...Wakalitohoa likatumika kusimamia maana ya neno hili badala ya UBOHO...

Mfano neno KITIVO...hili limetolewa huko kwa shemeji zako wala ugali kwa picha ya samaki..
 
Walio bahatika kuisoma post hii na wapo na mama,tafadhali rudini na muwaombe msamaha kwa makwazo yoyote waliyo yapata.
Mzazi akisha kufa na hamkuwa na mahusiano mazuri, jiandae "kupata taabu saaaana kwa maisha yote ya uhai wako".
 
Hahahahaha! Yule mzee wetu bila shaka angewasaidia sana[emoji23][emoji23], aisee jana nimechekaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] sio kwa dogori zile.
Omusononkoro upo ondoa shaka[emoji23].
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Tunga sentensi tano kwa kutumia neno UBOHO.

Naanza:-
01. Uboho wa mifupa ya kuku wa kienyeji ni mtamu kama kichuri.[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu aniepushe na maandiko yaliyo zoeleka kwa mwezi huu.
Ni mwezi wa kipekee sana, mwezi huu miaka ishirini iliyopita pita, mwacheni Mungu aitwe Mungu [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…