capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Why is Friday so close to Monday. But Monday is sooo far from Friday. 😡😡😡
Wewe ni mjita ama mkerewe??Asante, nitaomba darasa kutoka kwako maanake napata aibu sana kutoijua lugha yetu hii.
[emoji818][emoji818]
Mjita,Wewe ni mjita ama mkerewe??
AiseeMalemaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 827003
Furaha na upendo
Sawa. Ondoa shaka kabisa, kama kweli una nia ya kujua lugha yako utajua tu, hata kama ni kwa kudonoa donoa....Nitakufundisha.Mjita,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 827146Leo kwamara yakwanza nimeingia mahakamani mambo yakaanza hatujakaa sawa nkamskia Hakimu akisema oder oder Mimi nikaropoka chapati mbili namaharage aisee wanajali hatari maana saa hiyohiyo wamenichukua wakaniweka kwenye kachumba peke yangu wakaondoka itakuwa wameenda kuniletea oder yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na utamuUsiku wa pipii
Sawa. Ondoa shaka kabisa, kama kweli una nia ya kujua lugha yako utajua tu, hata kama ni kwa kudonoa donoa....Nitakufundisha.
Karibu.Asante Pyaar, Ntakutafuta.
Siku zote maishani mwetu,usisumbuliwe na neno loloteWafilipi 4:4 Neno:
4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!