myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji106]Wafilipi 4:4 Neno:
4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!
[emoji106]Wafilipi 4:4 Neno:
4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!
[emoji120][emoji120][emoji120]Wafilipi 4:4 Neno:
4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!
Sauli wa Tarso.Mtu mmoja jina lake sauli aliua wanadamu,aliwaua wote wanaomcha Mungu Jerusalem
Sauli sauli mbona waniudhi sauli wawatesa watu wangu
huu wimbo pamoja na kuwa sipo kwa wale lakini ilikuwa ukipigwa kushangiria lazima@Viumbe vile vyote vilivyoumbwa binadamu kaumbika kuliko vyoteee
mwana mpotevu...Alipokwisha kumaliza vyotee eee tabu na njaa ndipo vilipompata,akafikiri sana moyoni mwake
Hawa siyo Wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 827146Leo kwamara yakwanza nimeingia mahakamani mambo yakaanza hatujakaa sawa nkamskia Hakimu akisema oder oder Mimi nikaropoka chapati mbili namaharage aisee wanajali hatari maana saa hiyohiyo wamenichukua wakaniweka kwenye kachumba peke yangu wakaondoka itakuwa wameenda kuniletea oder yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]