Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NITABAKI NA MAMA YANGU Kijana mmoja daktari alikwenda kuposa kwa familia moja yenye uwezo wa kifedha na Mali zao . Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Baada ya kujua kwamba daktari alimchukua mama yake aishi naye kwake baada ya kuona mama yake amekuwa ni mzee Sana. Yule Binti Akamwambia chagua mawili kunioa mimi au kukaa na mama yako pale kwako ?? , kwa sababu ukinioa mimi sitokubali kukaa na mama yako pale kwako maana itakuwa ni kwangu sasa mama yako akae pale ili iweje?? ! Yule kijana daktari alimuelemewa. Hakujua la kufanya Kuhusu maisha yake na yeye yule Binti , Mke mtalajiwa , Uku akitafakari Binti anampenda Sana lakini mama yake pia anampenda. Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu kwakuwa alikuwa wanatoka wote kijiji kimoja pia Ndio kiongozi wake wa maisha yake. Daktari alimwambia mwalimu :- Mwalimu kama nilivyokueleza awali kwamba nitaenda kuposa kwa yule kwa wazazi wa yule binti niliyekuambia yaani kwa Kweli moyo wangu unampenda mno yule binti siwezi Fikiria Mwanamke mwingine zaidi yake , lakini masharti aliyonipa ya yule Binti mke mtalajiwa ni kwamba nimfukuze mama yangu pale nyumbani kwangu ,, kitendo ambacho kinaniumiza Sana Kichwa, mimi siwezi kuishi mbali na mama yangu maana amekuwa mzee. Mwalimu sasa Nifanye nini na yule Binti nampenda vibaya mno ? - 👇👇 Ingekuwa wewe ndo huyo mwalimu ungejibuje??.
 
NITABAKI NA MAMA YANGU Kijana mmoja daktari alikwenda kuposa kwa familia moja yenye uwezo wa kifedha na Mali zao . Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Baada ya kujua kwamba daktari alimchukua mama yake aishi naye kwake baada ya kuona mama yake amekuwa ni mzee Sana. Yule Binti Akamwambia chagua mawili kunioa mimi au kukaa na mama yako pale kwako ?? , kwa sababu ukinioa mimi sitokubali kukaa na mama yako pale kwako maana itakuwa ni kwangu sasa mama yako akae pale ili iweje?? ! Yule kijana daktari alimuelemewa. Hakujua la kufanya Kuhusu maisha yake na yeye yule Binti , Mke mtalajiwa , Uku akitafakari Binti anampenda Sana lakini mama yake pia anampenda. Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu kwakuwa alikuwa wanatoka wote kijiji kimoja pia Ndio kiongozi wake wa maisha yake. Daktari alimwambia mwalimu :- Mwalimu kama nilivyokueleza awali kwamba nitaenda kuposa kwa yule kwa wazazi wa yule binti niliyekuambia yaani kwa Kweli moyo wangu unampenda mno yule binti siwezi Fikiria Mwanamke mwingine zaidi yake , lakini masharti aliyonipa ya yule Binti mke mtalajiwa ni kwamba nimfukuze mama yangu pale nyumbani kwangu ,, kitendo ambacho kinaniumiza Sana Kichwa, mimi siwezi kuishi mbali na mama yangu maana amekuwa mzee. Mwalimu sasa Nifanye nini na yule Binti nampenda vibaya mno ? - [emoji116][emoji116] Ingekuwa wewe ndo huyo mwalimu ungejibuje??.

Jibu lake hapo ni “Nyambafu” na msonyo juu! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
37955417_2200995656596344_295498989824901120_n.jpg
 
Back
Top Bottom