Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo kwamara yakwanza nimeingia mahakamani mambo yakaanza hatujakaa sawa nkamskia Hakimu akisema oder oder Mimi nikaropoka chapati mbili namaharage aisee wanajali hatari maana saa hiyohiyo wamenichukua wakaniweka kwenye kachumba peke yangu wakaondoka itakuwa wameenda kuniletea oder yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…