Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Anataka uwe unampiga angalau kope ili ajue kuwa upo. Sasa wewe unapotea kimoja tu. Wewe denti kwa kweli ni shida. Mwalimu yupo kila siku anakulilia. Hata kupiga kope lile la kishikaji huwezi? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji23][emoji23][emoji23]... Wewe ni kiboko, Mwanawasu! Kuna sehemu nimetoka kapa, “Ebhisige sige”. Hapo umeniacha! Halafu huchomeki hata neno moja la Kiswahili! [emoji1][emoji1]
Anataka uwe unampiga angalau kope ili ajue kuwa upo. Sasa wewe unapotea kimoja tu. Wewe denti kwa kweli ni shida. Mwalimu yupo kila siku anakulilia. Hata kupiga kope lile la kishikaji huwezi? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Anaza andaeitini. Mtoto wa mjini. Bila utamaduni wake. Lost! Eti, ina maana gani kujiita Mjita wakati hujui Kijita wala utamaduni wao? Mfaransa kweli anaweza kujiita Mfaransa bila kujua Kifaransa na utamaduni wake? Ngugi wa Thiong'o anapambana vikali sana na tatizo hili. Mbona sisi Waafrika, tena tunaojiita wasomi, hatuoni aibu kupoteza utamaduni wetu na lugha zetu? Mbona kwa wazungu mambo haya hayapo? Kulingana na Ngugi, haya ni matokeo ya mkakati wa makusudi wa watawala wetu. Wanajua kuwa ukimtenga mtu na utamaduni wake unamvuruga. Unamfanya asijielewe. Anakuwa hana falsafa. Hajui thamani na nafasi yake katika ulimwengu huu...Yegomasika na Pyaar nyinyi ni ndugu zangu, bahati mbaya sana sielewi mnacho zungumza ila nyinyi ni ndugu zangu. Nmefurahi thou[emoji4][emoji4]
Mwenye busara hutoa kitu chenye mashiko...Anaza andaeitini. Mtoto wa mjini. Bila utamaduni wake. Lost! Eti, ina maana gani kujiita Mjita wakati hujui Kijita wala utamaduni wao? Mfaransa kweli anaweza kujiita Mfaransa bila kujua Kifaransa na utamaduni wake? Ngugi wa Thiong'o anapambana vikali sana na tatizo hili. Mbona sisi Waafrika, tena tunaojiita wasomi, hatuoni aibu kupoteza utamaduni wetu na lugha zetu? Mbona kwa wazungu mambo haya hayapo? Kulingana na Ngugi, haya ni matokeo ya mkakati wa makusudi wa watawala wetu. Wanajua kuwa ukimtenga mtu na utamaduni wake unamvuruga. Unamfanya asijielewe. Anakuwa hana falsafa. Hajui thamani na nafasi yake katika ulimwengu huu...
Bro, you seem to be real cool, young and smart. Jibidishe sana ujifunze Kijita. Jifunze utamaduni wao. Jifunze Historia yao. Jirunze falsafa zao. Jifunze imani zao (siyo lazima uzifuate) na visaasili vyao. Ati, mwanaume halisi wa Kijita anapaswa aweje? Na bahati unaye mwalimu hapa. Jifunze yote uwezayo. Hata yale ya siri. Utakuwa umechangia katika kuiokoa lugha na utamaduni wa Kijita usipotee pamoja na kujiokoa yeye mwenyewe. Mwafrika halisi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii...Ushabadili maana, sikumaanisha nipigwe kope[emoji23].Anataka uwe unampiga angalau kope ili ajue kuwa upo. Sasa wewe unapotea kimoja tu. Wewe denti kwa kweli ni shida. Mwalimu yupo kila siku anakulilia. Hata kupiga kope lile la kishikaji huwezi? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vyuma vimekaza bana! Unaweza kupiga kope ukajikuta umeinywa hela yote ya tuition! [emoji1][emoji1]
Kuna siku binamu yangu alishikiliwa na watu wa uhamiaji pale Mutukula akitokea Uganda eti wakidai sio mtz, kaulizwa Tz unaishi mkoa gani kawajibu, wewe kabila gani kasema basi akaongeleshwa kijita na mmoja wa officers akabaki anatumbua macho tu...Kakaa pale karibu masaa 6.. ndipo akaachwa aendelee na safari yake[emoji23]... alisahau kutembea na kitambulisho..Anaza andaeitini. Mtoto wa mjini. Bila utamaduni wake. Lost! Eti, ina maana gani kujiita Mjita wakati hujui Kijita wala utamaduni wao? Mfaransa kweli anaweza kujiita Mfaransa bila kujua Kifaransa na utamaduni wake? Ngugi wa Thiong'o anapambana vikali sana na tatizo hili. Mbona sisi Waafrika, tena tunaojiita wasomi, hatuoni aibu kupoteza utamaduni wetu na lugha zetu? Mbona kwa wazungu mambo haya hayapo? Kulingana na Ngugi, haya ni matokeo ya mkakati wa makusudi wa watawala wetu. Wanajua kuwa ukimtenga mtu na utamaduni wake unamvuruga. Unamfanya asijielewe. Anakuwa hana falsafa. Hajui thamani na nafasi yake katika ulimwengu huu...
Bro, you seem to be real cool, young and smart. Jibidishe sana ujifunze Kijita. Jifunze utamaduni wao. Jifunze Historia yao. Jirunze falsafa zao. Jifunze imani zao (siyo lazima uzifuate) na visaasili vyao. Ati, mwanaume halisi wa Kijita anapaswa aweje? Na bahati unaye mwalimu hapa. Jifunze yote uwezayo. Hata yale ya siri. Utakuwa umechangia katika kuiokoa lugha na utamaduni wa Kijita usipotee pamoja na kujiokoa yeye mwenyewe. Mwafrika halisi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Anaza andaeitini. Mtoto wa mjini. Bila utamaduni wake. Lost! Eti, ina maana gani kujiita Mjita wakati hujui Kijita wala utamaduni wao? Mfaransa kweli anaweza kujiita Mfaransa bila kujua Kifaransa na utamaduni wake? Ngugi wa Thiong'o anapambana vikali sana na tatizo hili. Mbona sisi Waafrika, tena tunaojiita wasomi, hatuoni aibu kupoteza utamaduni wetu na lugha zetu? Mbona kwa wazungu mambo haya hayapo? Kulingana na Ngugi, haya ni matokeo ya mkakati wa makusudi wa watawala wetu. Wanajua kuwa ukimtenga mtu na utamaduni wake unamvuruga. Unamfanya asijielewe. Anakuwa hana falsafa. Hajui thamani na nafasi yake katika ulimwengu huu...