Sokoni kisutu[emoji3] [emoji3] View attachment 827725
Linahama kwa muda kupisha ujenzi. linajengwa ili kuendana na hali ya sasa, so kwa muda litahamia hapo Kituo cha zamani KisutuSoko la Kimataifa! Nilipita hapo juzi kati nikaambiwa linahamishwa kwa mda! Wanahamia pale Kisutu, ilipokuwa stand ya mabasi ya kwenda Moshi/Arusha!
Linahama kwa muda kupisha ujenzi. linajengwa ili kuendana na hali ya sasa, so kwa muda litahamia hapo Kituo cha zamani Kisutu
Mungu aendelee kuunyosha mkono wa uponyaji [emoji120] [emoji120]Ukiona hivyo ujue gonjwa gonjwa naogopa kuvuta akati kijana kabisa
Uko deep sana mkuu. Prof mwenyewe atashangaa [emoji16][emoji16][emoji16]Lugano =upendo =Loveness? =Pyaar!!!
Poa mzimaMkuu niaje
HahahahaWakati mwingine mambo huwa hivi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 827723
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 827662
Hahahha wabongo noma sanaHapo naona sentensi haijakamilika.
"Kwahiyo leo unakwenda kuzinywea wapi na malaya wako[emoji23][emoji23]".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee,, upo sawa kabsa,, sema hilo la mwsho hawezi kultamka anaweza geuziwa kipigo
Hhahha jina lake nani potiHata mimi nilipoliona tu jina lako na wasifu lililopewa, nikajua tu kwamba huyu poti katunywesha chai hapa! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
AmenMungu aendelee kuunyosha mkono wa uponyaji [emoji120] [emoji120]
Jumapili si unajuaJana na leo naona ni full maupako tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Nashawishika kujua ati[emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]
Poti unalijua jina langu??