[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji124][emoji124]View attachment 827827
Gonga msosiView attachment 827829
Lunch time! [emoji39][emoji39]
Ubaya nyinyi makabila yenu hamtaki yajulikane. Yatajeni hapa tutaniane ipasavyo [emoji16][emoji16][emoji16]Acha weee[emoji3] [emoji3] kabila pendwa hilo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu mzigo kama huo mida kama hii, yeye kashalamba 🍷 zake na mie nshang'ata jibapa langu we ni mwendo wa show za slow slow haste haste
Hivi kweli mpaka sasa huja jua kabila zetu kutokana na hizi kanda zetu mkuu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] kabila pendwa ni watani zetu wa jadi bhana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ubaya nyinyi makabila yenu hamtaki yajulikane. Yatajeni hapa tutaniane ipasavyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana bro,, sina uhakika sema nahisi tuUna uhakika bro? Sema nianze kuchimbua madhaifu yao yote...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kitu toka a town[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu umewaza mbali sana...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu mzigo kama huo mida kama hii, yeye kashalamba [emoji485] zake na mie nshang'ata jibapa langu we ni mwendo wa show za slow slow haste haste
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hahahahaahaAmen.
Usiniambie unataka kuresiti ini piisi!!
Unatutisha hivyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hapana nimewiwa tu.
Isije kuwa ndo maneno ya mwisho kwenu, kwa maana leo nina furaha isiyo kifani.
Kama mna ubavu semeni makabila yenu hapa tuwatanie. We uko pwani lakini sitashangaa kama nawe unatoka kanda hii hii pendwa [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi kweli mpaka sasa huja jua kabila zetu kutokana na hizi kanda zetu mkuu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] kabila pendwa ni watani zetu wa jadi bhana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , hapana mkuu. Hapa ni makazi asiliKama mna ubavu semeni makabila yenu hapa tuwatanie. We uko pwani lakini sitashangaa kama nawe unatoka kanda hii hii pendwa [emoji16][emoji16][emoji16]