Uweke hapa ujulikaneHivi kwa nini ukweli kuhusu huyu mtu unafichwa fichwa
Katika jina la Yesu natengua kauli yako hii. Nayafutilia mbali mawazo na maneno haya haijalishi kama ni utani ama la. Kama una msongo wa mawazo na ukaoshwe kwa jina la Yesu. Kama unafikiria kujiua, mawazo hayo na yakafe na badala yake mawazo ya upendo wake na matumaini yakatawale fikra zako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hapana nimewiwa tu.
Isije kuwa ndo maneno ya mwisho kwenu, kwa maana leo nina furaha isiyo kifani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hiyo kapero aliyo vaa huyo mrugaruga nimejirizisha... Ghwakukajha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzaramo?Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , hapana mkuu. Hapa ni makazi asili
Ukweli gani unaofichwa?Hivi kwa nini ukweli kuhusu huyu mtu unafichwa fichwa
Hii inamaana kwamba "Rushwa bado adui wa taifa hili"