Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1533466289456.jpg
 
Katika jina la Yesu natengua kauli yako hii. Nayafutilia mbali mawazo na maneno haya haijalishi kama ni utani ama la. Kama una msongo wa mawazo na ukaoshwe kwa jina la Yesu. Kama unafikiria kujiua, mawazo hayo na yakafe na badala yake mawazo ya upendo wake na matumaini yakatawale fikra zako.

Prof, we still need you [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nitafanya yoteee lakini sio kujiua...Napenda kuishi [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom