myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
tudumishe umoja wetu
Vidole vya huyo mdada aliye shika simu kwenye picha nimevipenda... Tupiamo kanamba kake basi[emoji12] [emoji12]Ukara[emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 827947
Vidole vya kiume hivyo bwana.Vidole vya huyo mdada aliye shika simu kwenye picha nimevipenda... Tupiamo kanamba kake basi[emoji12] [emoji12]
Kwa ulaini huo?!!!! Sidhani.Vidole vya kiume hivyo bwana.
Safi kabisa. Tusipoteze muda, lete ushahidi wa tuvidole tulito onekana kwa pichaHabari zenu marafiki
[emoji23]mwanaume wa DarKwa ulaini huo?!!!! Sidhani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana sitaki kukaa huko[emoji23]mwanaume wa Dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hutaki kuwa mwororo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana sitaki kukaa huko
Mtoto wa kiume kujifungia kwenye friji kisa kuogopa joto!!! Nitayawezea wapi mtoto wa kinyakyusa... Jua la utosi hadi magharibi nipo shambani... Waache wanyororoke tutakutana kwenye viwanja vya dada zao[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hutaki kuwa mwororo??