Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
[emoji23]
Yaani acha kabisa mizimu ya kikara plus kikerewe plus zaramo we sijui kama Kuna wa kunichezea hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mababu zetu ni hazina tosha.
Haswaaaaa3.Badala ya kutumia jam kwa mkate, tumia parachichi. au mbogamboga .
Hahahahahaha, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] uoga uoga uoga[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23], sio kwa hitimisho hilo ndg yangu....SIFI leo wala Kesho.[emoji490][emoji490][emoji482]
Yap mkuuNakumbuka uliwahi sema, mitaa ya kisutu ni ile ile, zanaki ni ile ile, mabadiliko machache sana. Mabadiliko hasa yapo Kariakoo
Yap ukara anatoka babu hila maisha yake yote aliishi ukerewe kwa bibiMkuu Ukara ni nyumbani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] View attachment 828109
Kuna kilometa ngapi baina ya kisiwa cha ukara na ukerewe?Yap ukara anatoka babu hila maisha yake yote aliishi ukerewe kwa bibi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanawake katika kazi mbalimbali, mipango yao huenda haraka zaidi ya wanaume, mara tano zaidi ya wanaume, na hutumia ubongo kidogo tu kutambua kazi iliopo.
Hatimae, wachunguzi wamehakikisha kwamba wanawake wanahitaji muda wa zaidi wa kulala kuliko wanaume kwa sababu wako Smart sana. Ni ukweli wa kisayansi.
Sawa…. sio hivyo hasa.
[emoji23][emoji23]kwanini mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu utafiti itakua wameufanya wadada.
Siumeona mlivyovutia kwenu, halafu mkaona haitoshi mkadai inabidi mlale/mpumzike zaidi ya wakaka.😀😀[emoji23][emoji23]kwanini mkuu?
Hahahahhaha!Siumeona mlivyovutia kwenu, halafu mkaona haitoshi mkadai inabidi mlale/mpumzike zaidi ya wakaka.😀😀
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Inakadiriwa kuwa ni km 10.Kuna kilometa ngapi baina ya kisiwa cha ukara na ukerewe?