Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa kupanga muda wa kusafisha mwili kwa ajili ya kuondoa sumu, sio sawa na kula kilicho safi.Wazo kubwa hapa ni kukaa mbali na vyakula ambavyo vimetengenezwa na kutunzwa kwenye makopo au chupa au chochote na kuachana na vyakula vya kukaanga kwenye mafuta mengi , badilisha kwa kula matunda mengi na mboga za majani. utajisikia tofauti kabisa.