Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati huo huo Manchester United wamefanya mawasiliano na Bayern Munich kumsaini mlinzi mwenye miaka 29 mjerumani Jorome Boateng kwa kima cha pauni milioni 44.5. (Bild - in German)
 
Chelsea wako katika nafasi nzuri kumsaini kwa pauni milioni 75 wing'a wa Crystal Palace na Ivory Coast Wilfried Zaha, 25, baada ya Tottenham kujiondoa. (Mirror)
 
Ofa ya Leicester ya pauni milioni 10 imekataliwa kwa mlinzi wa Brentford Chris Mepham, 20, huku nao Bournemouth wakimmezea mate mchezaji huyo wa kimataifa wa Wales. (Mail)
 
Wolves wanataka kuilipa Middlesbrough pauni milioni 22 kwa awamu kwa wing'a raia wa Uhispania Adama Traore, 22, badala ya malipo yote kwa jumla kwa kulipa kwanza paunia milioni 18. (Sun)
 
Mzee Mnangagwa na Dada Priscilla Chigumba Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zimbabwe,


Bado tulitegemea demokrasia ktk chaguzi ZIM?



View attachment 828627
Hizi ndo siasa za afrika.
Ila sidhani kama mnangagwa angekubali fedheha ya kukosa kiti cha uraisi ilhali alishiriki kumtoa mugabe madarakani,kwa vyovyote vile huu uchaguz angepewa tu kiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…