Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Kigugumizi noma kuna jamaa alienda ukweni kufika akapewa muwa akasema si....si....siwezi! ****...****....kumaliza peke...peke...peke yangu labda tuka...tuka...tiane na mama....mkwe! Sababu nina ****....****....ubovu wa meno. Mama mkwe akang'aka we mkwe unikome kabisa tabia gani hiyo?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji85][emoji85][emoji119]🏾[emoji119]🏾
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
.
IMG_20180806_161222_716.jpeg
 
Everton wamewaambia Manchester United kuwa watamchukua beki ya miaka 28 raia wa England Chris Smalling au mlizni wa Sweden Victor Lindelof, 24, ikiwa klabu hizo mbili hazitaafikia makubaliano kuhusu mlinzi raia wa Argentina Marcos Rojo, 28. (Teamtalk)
 
Manchester United wanajiandaa kutoa ofa kwa beki wa Leicester Harry Maguire, 25, na kwamba sasa wanaweza kulipa pesa nyingi zaidi katika rekodi kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa England. (Sky Sports)
 
Manchester United wanajiandaa kutoa ofa kwa beki wa Leicester Harry Maguire, 25, na kwamba sasa wanaweza kulipa pesa nyingi zaidi katika rekodi kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa England. (Sky Sports)
 
Wakati huo huo Manchester United wamefanya mawasiliano na Bayern Munich kumsaini mlinzi mwenye miaka 29 mjerumani Jorome Boateng kwa kima cha pauni milioni 44.5. (Bild - in German)
 
Back
Top Bottom