Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Your Ex-GirlFriend Asking If U Can Still Be Friends After A Break-Up...It Is Like...A Kidnapper Telling U To Keep In Touch.
HahahaahahahaDEM: Uko wapi bby
JAMAA: Niko njiani naelekea shuleni niko na gari ya Baba Marcedenz benz ile Bmw ipo service, we uko wapi bby.
DEM: Nipo siti ya nyuma yako kwenye hii daladala ya chanika nilitaka nikuambie usilipe nauli nishakulipia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipata jibu unitagHivi ile zipu ya mbele kwenye suruali za wadada , huwa ni ya kutolea nini? [emoji41][emoji41][emoji41] still thinking about this.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Marrying a sponsor is not a problem.. problem comes when you want to listen to Ariana Grande na yeye ameng'ang'ana kuskiza matangazo ya vifo[emoji19][emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi leo wameonekana hapa?Ukipata jibu unitag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata jibu unitag
Umekiangalia kizazi hiki kipya ambacho hata hakijui lugha za wazazi na utamaduni wao?Muda umefika wa kujikomboa na utumwa huu
Ni kweli bro. Ukimwona mzungu amekazana eti kumsaidia Mwafrika jua kuna kitu anafaidika kama siyo sasa ni huko mbele ya safari.Kabisa aisee!! Walitufanyia unyama wa kutisha sana,,,Ila Leo hii unakuta kuna urafiki wa mtu mweusi na mweupe kabsa,,, Aisee nachoamini mm hakuna urafiki wa mweupe na mweusi otherwise kuna kitu mweupe anafaidika nacho toka kwa mweusi!!!
Inasaidia katika uvaaji na uvuaji wa suruali...[emoji23]Hivi ile zipu ya mbele kwenye suruali za wadada , huwa ni ya kutolea nini? [emoji41][emoji41][emoji41] still thinking about this.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kitu huuma mwanaume kama kutumia dem pesa ina jiandika Eliud Nyangosi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
😀😀😀Dear ladies Flat Ass is caused by sitting in a relationship that is not yours[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dont argue with me am not your father [emoji23][emoji23]
KWELINa kiendacho kwa mganga huwa hakirudi ng'o !!!