Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

246108177_285434.jpg
 
Washenzi wale walitufanyia mambo ya kishenzi sana na mpaka leo hatujakaa sawa kisaikolojia...
Kabisa aisee!! Walitufanyia unyama wa kutisha sana,,,Ila Leo hii unakuta kuna urafiki wa mtu mweusi na mweupe kabsa,,, Aisee nachoamini mm hakuna urafiki wa mweupe na mweusi otherwise kuna kitu mweupe anafaidika nacho toka kwa mweusi!!!
 
DEM: Uko wapi bby
JAMAA: Niko njiani naelekea shuleni niko na gari ya Baba Marcedenz benz ile Bmw ipo service, we uko wapi bby.
DEM: Nipo siti ya nyuma yako kwenye hii daladala ya chanika nilitaka nikuambie usilipe nauli nishakulipia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom