Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180806-WA0010.jpg
 
Yaani huyo mwalimu atanitambua walah tenaView attachment 828702
Jiwe likimponyoka litagonga kisogoni, utakuwa ndio mwisho wa uhai wake.

Kama mzazi nitamfanyaje mwalimu?

Vere simpo, sitashiriki mazishi ya mwanangu, mwalimu naye hata pata mshahara wa mwisho wa mwezi.

Yaani mimi jela yeye kaburini... Fulu sitopu
 
Back
Top Bottom