Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1533536474846.jpg
 
Jiwe likimponyoka litagonga kisogoni, utakuwa ndio mwisho wa uhai wake.

Kama mzazi nitamfanyaje mwalimu?

Vere simpo, sitashiriki mazishi ya mwanangu, mwalimu naye hata pata mshahara wa mwisho wa mwezi.

Yaani mimi jela yeye kaburini... Fulu sitopu
Kuna adhabu ambazo sizo kabisa,yaani haijalishi huyo mtoto ni mtukutu kiasi gani
 
Yegomasika. Ni yale mambo. Naona wanataka kumkamata pia Prof. Krauss - Astrophysicist ninayemkubali sana na mwenye uwezo mkubwa wa kueleza dhana nzito nzito za sayansi mpaka zikaeleweka hata kwa vilaza kama miye. Tayari wameshaanza kumdondosha...
View attachment 828748

Hii vita ya mambo ya sexual misconduct itawaacha majeruhi watu wengi sana maarufu! Inasikitisha sana aisee.
 
Yaani hata ukisingiziwa tu tayari. Mi naachaga mlango wa ofisi wazi kabisa nikiwa na mtu ndani. Kuna mmoja aliwahi kunipa changamoto sana japo baadaye niligundua kwamba shida yake kuu ilikuwa ni shoo ya kibabe tu na si kingine. Shwaini kabisa !!!
 
Back
Top Bottom