Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kane (Glenn Jacobs) nilikuwa navutiwa nae sana akiwa tag team na Daniel Brian. Hongera zake maana mwenye nacho huongezewamoudgulf. Kane kaukwaa umeya na tayari wameanza kusema kuwa ni gavana ajaye wa jimbo la Tennessee...Jamaa ni tajiri na ana makampuni mawili tayari...
View attachment 828770
Hongera zakemoudgulf. Kane kaukwaa umeya na tayari wameanza kusema kuwa ni gavana ajaye wa jimbo la Tennessee...Jamaa ni tajiri na ana makampuni mawili tayari...
View attachment 828770
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ngoja nirudi kwetuView attachment 828784
[emoji3] [emoji3]
Yaani hata ukisingiziwa tu tayari. Mi naachaga mlango wa ofisi wazi kabisa nikiwa na mtu ndani. Kuna mmoja aliwahi kunipa changamoto sana japo baadaye niligundua kwamba shida yake kuu ilikuwa ni shoo ya kibabe tu na si kingine. Shwaini kabisa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]