[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Hakuna kosa hapo, mtoto wa miezi sita hawezi pewa nyonyo na dada wa kazi kabla hujatest[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jamaa mwenye t shirt ya mistari nahisi itakua member mwenzenu humu jf,jukwaa lake pendwa chit chat na mmuView attachment 828853
HaswaaMshambuliaji nyota wa Liverpool aliyetwaa tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu England msimu uliopita Mohammed ‘Mo’ Salah raia wa Misri, anatarajiwa kupata ushindani mkubwa katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu msimu huu.
Heshima kwakeMo Salah alimpiku Harry Kane wa Tottenham katika mechi za mwisho mwisho katika Ligi Kuu England hivyo kumaliza msimu akiwa amefunga mabao 32 dhidi ya 30 ya Kane katika mechi 38 za Ligi hiyo yakiwa ni mabao mengi katika misimu ya hivi karibuni.