capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Amen[emoji120][emoji120][emoji120], na Mungu afungue milango ya baraka zao..
Kuna wanawake mpaka unaweza wahurumia wale watakaokwenda kuishi nao kama waume zao...Yaani vurugu tupu... Lakini ukiwaona barabarani walivyong'aa huwezi kudhania huko ndani mwao kama hapafai..Wapo wasiopenda kufanya usafi mtu analundika vyombo,chupi wiki nzima sembuse kudeki nyumba
RIPParapanda italia
Anacheza na moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Je, unafahamu kwamba kunyonyesha maziwa ya mama pekee bila kumpa mtoto, kinywaji au chakula chochote, katika miezi sita ya mwanzo baada ya kuzaliwa ni muhimu?
When it comes to the start of breastfeeding, timing is everything. In many countries, it can even be a matter of life or death. New report:
Je, unafahamu kwamba kunyonyesha maziwa ya mama pekee bila kumpa mtoto, kinywaji au chakula chochote, katika miezi sita ya mwanzo baada ya kuzaliwa ni muhimu?
Watu hawana choyo,hata wewe wamekupa likes!BAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!
Watapata wenzao wa kuendana nao. Na watakuwa na ndoa zenye amani tu. Ndivyo dunia hii ilivyo !!!Kuna wanawake mpaka unaweza wahurumia wale watakaokwenda kuishi nao kama waume zao...Yaani vurugu tupu... Lakini ukiwaona barabarani walivyong'aa huwezi kudhania huko ndani mwao kama hapafai..
Mume mchafu, mke mchafu sipati picha kwenye hii kolabo [emoji16][emoji16][emoji16]Wapo wasiopenda kufanya usafi mtu analundika vyombo,chupi wiki nzima sembuse kudeki nyumba
[emoji23][emoji23][emoji23]