Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hivi like ndio kupendwa kiBongo...

Basi nipendeni ndgu yenu(wadada ingependeza zaidi) manake masela hawakawii kubadilisha kauli
 
Kuna wanawake mpaka unaweza wahurumia wale watakaokwenda kuishi nao kama waume zao...Yaani vurugu tupu... Lakini ukiwaona barabarani walivyong'aa huwezi kudhania huko ndani mwao kama hapafai..
Kuna mmoja ni mke wa ndugu yangu daah kupika hapiki kutwa kuzurura,ndan pako shagalabagala hajali,yeye mwenyewe vaa yake ovyo akati zaman kabla hajaolewa alikua sopu sopu
 
Safi sana, Abel Nassor akiwaongoza wenzake akina Anwar Sadat nk kumuondosha mfalme mpenda starehe Farouk
 
Sijakataa,....Uvivu usimsukume yeye kuoa.
Ukiuliza waoaji ni kwa nini huamua kuoa, utasikia sababu za ajabu sana:

- Nimeamua kutulia
- Umri umeenda
- Nimechoka kukaa peke yangu (kimsingi - at least katika jamii yetu - nimechoka kujipikia, kujifulia nguo, kufanya usafi wa nyumba etc)
- Nimepata mke mwenye hadhi (hela, kazi...)
-

Utakuwa na bahati sana ukipata mtu anakuambia kuwa ameamua kuoa kwa sababu anaamini kuwa kampata mtu ambaye ameyakamilisha maisha yake. Yule aliyeandikiwa na Mola...
 
Huyu naye aliua na kutesa
 
Kuna mmoja ni mke wa ndugu yangu daah kupika hapiki kutwa kuzurura,ndan pako shagalabagala hajali,yeye mwenyewe vaa yake ovyo akati zaman kabla hajaolewa alikua sopu sopu
Ndugu yako anasemaje? Ana furaha?

Ukiona hivyo likely kitandani wifiyo ni moto wa kuotea mbali; au ana wale konokono adimu. Nyie ndugu mtapiga makelele brother anawachora tu. Haya mambo ni magumu !!!
 
Hilo silipingi...
+ Msukumo wa wazazi.
 
Ingawa alifuta vyama vingi hakuwa na sifa mbaya kama Banda, Mobutu au Felix Houphote Bogney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…