Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bado siludi? Au aliye isiludiwa ndo huyo huyo mpaka sasa?!!!
Kama ni hivyo umepata hasara binti yangu... Binti mzuri lazima upitie misimu minne ya radha za kimahaba...
1.unaanza na bamia kulainisha koo
2.ndefu iliyo pinda kushoto kuimarisha njia
3.nene nzito inafuatia kuimarisha pango
4.mwisho ni Free style sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usiikompliketi dunia ndugu, usijekuta hiyo unayoikimbia ndio palace yako... Huu noozi [emoji137] [emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa yuu Pyaar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji3][emoji3][emoji16]
Sheeeeenziii kabisa.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Bado siludi? Au aliye isiludiwa ndo huyo huyo mpaka sasa?!!!
Kama ni hivyo umepata hasara binti yangu... Binti mzuri lazima upitie misimu minne ya radha za kimahaba...
1.unaanza na bamia kulainisha koo
2.ndefu iliyo pinda kushoto kuimarisha njia
3.nene nzito inafuatia kuimarisha pango
4.mwisho ni Free style sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usiikompliketi dunia ndugu, usijekuta hiyo unayoikimbia ndio palace yako... Huu noozi [emoji137] [emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa yuu Pyaar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu yako anasemaje? Ana furaha?

Ukiona hivyo likely kitandani wifiyo ni moto wa kuotea mbali; au ana wale konokono adimu. Nyie ndugu mtapiga makelele brother anawachora tu. Haya mambo ni magumu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ni mtu wa safari sana na utadhan anasafiri kweli kumbe ana nyumba ndogo za kutosha. Na uzuri familia hainaga ya kuingilia ndoa za watu so tunajikaushaga tu kama hatuoni ili tushuhudie movie vizuri. Maisha ya wanandoa sio ya kuingilia kabisaaaaaa
 
Usaliti kwani unachaguaga msafi au mchafu. Anaweza kuwa mchafu na akawa anagawa nje kama peremende. Hakuna fomyula nadhani. May be mkeo kama ni mchafu mchafu ukichapiwa haitauma sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Haya mambo nimeyashuhudia kuna mmoja ni smart msafi msomi ila kwenye kugawa yupo vizuri mpaka ndoa ikamshinda

Mwingine mchafu yupo yupo tu mvivu ndoa ipo imara
 
Mmmmmh! Sio kweli bwana[emoji16][emoji23]
Wewe bisha tu huo ndo ukweli,mtu anaivua na kuitupia huko mara siku nyingine anajisahau anaivaa tena. Kuna uzi MMU ulianzishwa wadada wakajitetea kurundika vyupi ati watafua weekend na kwamba hata sio chafu sana aiseee sikupata picha ila sasa tembea uone nikamuona mmoja bingwa wa kurundika ati dokta wake kamshauri hivyo zinarundikwa zinakuja lowekwa kwa omo na kufuliwa pamoja
 
Wanauzi wa likes mpo? [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 829323
Tatizo sisi nadhani tulijisifiaga mwanzo wa huu uzi kuwa tuna sura nzuri, maisha mazuri na takataka kibao za maisha mazuri, hatuwezi kukutana.
Mzee wa liver anajaribu kuomba kukutana na watu wengi sana ila wanamkimbia.
Haka kanafunzi kaliko oa mama mzee wanakuku wazuri sana kwa biashara, yeye na mke wake ni watu wazuri sana tukiacha utani wa humu jf.
Sijui nani atuongoze?
Nikikutana na moudgulf nitakuwa na la kuongea baada ya kuzitafuna pumbu za mbuzi pale Sokota next month Mungu akipenda
 
Noted ...with respect...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom