Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446619873_123887.jpg
 
JE UNA ASSETS AMA LIABILITIES?

[emoji888] *Asset* ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.

[emoji888] *Liability* ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako.

[emoji1542]Ukitaka kuwa tajiri,hiki ndio assets na liabilities ndio kitu pekee unacho hitaji kukijua na kukifanyia kazi.

[emoji888]Matajiri wote wananunua Assets,lakini sisi Masikini na wenye maisha ya kiwango cha kati tunanunua Liabilities tunazodhani kua ni Assets.

[emoji888]Watu wengi ukiwauliza wana Asset gani wanazomiliki watakutajia vitu kama,nyumba,gari,simu,laptop, duka n.k.

[emoji888]Ni sawa kama tu hivyo vitu vinakuingizia pesa,lakini kama havikuingizii chochote hivyo sio Assets bali ni Liabilities.

[emoji888]Hebu tuangalie nyumba,kama una nyumba yako ya kuishi mwenyewe hiyo ni Liability kubwa sana,maana haikuingizii hata mia,badala yake inakutolea pesa,utalipa umeme,maji,ukarabati na marekebisho ya vitasa,taa,furniture n.k,hayo yoote yanatoa pesa mfukoni.

[emoji888]Lakini kama nyumba umepangisha,hiyo ni Asset.

[emoji888]Gari,kama unaitumia kwa matumizi yako binafsi ya kila siku hiyo ni Liability kubwa,itahitaji mafuta,service,na kama umenunua kwa mkopo wa Bank ndio balaa zaidi,ila kama ni la biashara hiyo ni Asset.
[emoji888] Simu ambayo haikuingizii pesa yoyote zaidi ya kukumalizia vocha na kuishia kuchart,hiyo ni Liability, Tv na radio hata duka pia,maana siku umelifunga huingizi chochote,matumizi yoote unategemea dukani,badala ya duka kukupa faida,unachukua mshahara unaongeza mtaji.

[emoji888] Wasomi wengi walioajiliwa wanakufa masikini kwasababu mishahara yao na mikopo wanayochukua inaishia kununua liabilities kama furniture, TV,radio,simu kubwa,gari,fridge,nguo,viatu, badala ya Asset ambazo zingewaingizia pesa zingine,mwisho wanaishia kuuza liabilities zao na kubaki masikini kabisa.

[emoji888]Watu wengi wanadhani wakiongezewa mshahara wata tatua matatizo yao,badala yake matatizo yanaongezeka maana mshahara (Income) ukiongezeka,matumizi(Expenses) pia yanaongezeka hivyo kuongeza kolamu ya Liabilities. Na hii yote ni kwasababu hatufundishwi elimu ya pesa darasani.

[emoji888] Matajiri woote wana kuza upande wa kipato (Income) na kupunguza upande wa matumizi (Expenses) kwa kununua Assets nyingi na kupunguza Liabilities. Wananunua Luxuries kama gari,TV ,simu kubwa pale tu Assets au vitu walivyowekeza vinapowapatia faida,hivyo faida ndio inanunua magari,nyumba,TV nnk, ndio maana wanasema siri ya utajiri ni ubahili,lakini watu wengine kadri kipato kinapoongezeka na matumizi yanaongezeka.

[emoji888]Kama unataka kua tajiri lazima ujue pia maana halisi ya neno utajiri(Wealth).

[emoji888] *Wealth* is a person's ability to survive so many numbers of days toward, or if you stopped working today,how long could you survive?
Maana yake,kama leo utaacha kufanya kazi ambazo zinakuingizia kipato,una uwezo wa kuendelea kuishi kwa muda gani??

[emoji888]Ukiona ukiacha kufanya kazi huna uwezo wa kumudu mahitaji ya kila siku kwa muda hata wa mwaka mmoja ujue wewe bado huna Mali(wealth) maana huna Assets zinazoweza kukuingizia kipato cha kuweza kukufanya uendelee kuishi pindi uachapo kazi.

[emoji888]Jiulize msharaha wako unanunua Assets au Liabilities, na pia ujiulize are you Wealth or not?

Ahsante

[emoji888]》Ndugu,hebu jiulize,unawekeza kwenye assets.

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ni copy and paste.
 
Tatizo sisi nadhani tulijisifiaga mwanzo wa huu uzi kuwa tuna sura nzuri, maisha mazuri na takataka kibao za maisha mazuri, hatuwezi kukutana.
Mzee wa liver anajaribu kuomba kukutana na watu wengi sana ila wanamkimbia.
Haka kanafunzi kaliko oa mama mzee wanakuku wazuri sana kwa biashara, yeye na mke wake ni watu wazuri sana tukiacha utani wa humu jf.
Sijui nani atuongoze?
Nikikutana na moudgulf nitakuwa na la kuongea baada ya kuzitafuna pumbu za mbuzi pale Sokota next month Mungu akipenda
Hahahahaha!
 
Wewe bisha tu huo ndo ukweli,mtu anaivua na kuitupia huko mara siku nyingine anajisahau anaivaa tena. Kuna uzi MMU ulianzishwa wadada wakajitetea kurundika vyupi ati watafua weekend na kwamba hata sio chafu sana aiseee sikupata picha ila sasa tembea uone nikamuona mmoja bingwa wa kurundika ati dokta wake kamshauri hivyo zinarundikwa zinakuja lowekwa kwa omo na kufuliwa pamoja
Anashindwa kuloweka akiivua muda anaokwenda kukoga halafu akaifua siku hiyo hiyo??.. Mazoea tu.
 
Back
Top Bottom