[emoji123][emoji123][emoji123]Mwache diisii afanyekazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!Zamani Nilipokuaga Kwenye Relationship Then Nakua Nimechoka Mtu Huyo Na Sioni Sababu Ya Kunifanya Nimuache Nilikua Nampa Password Na Simu Yangu Akae Nayo Hata Siku Nzima... Yeye Mwenyewe Atarudisha Simu Na Kunblock Niendelee Na Maisha Mengine Bila Kua Na Ugomvi Wowote Ule.
Zamani Nilipokuaga Kwenye Relationship Then Nakua Nimechoka Mtu Huyo Na Sioni Sababu Ya Kunifanya Nimuache Nilikua Nampa Password Na Simu Yangu Akae Nayo Hata Siku Nzima... Yeye Mwenyewe Atarudisha Simu Na Kunblock Niendelee Na Maisha Mengine Bila Kua Na Ugomvi Wowote Ule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
as easy as that.Khaa!
Katika Dunia Hii Hakuna Watu Wambeya kama Watu Walio Kwenye Seriously Relationship Hawa Ndio Huwa Watu Wambeya Kuliko Watu Wowote Wale Unaowajua Wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23];Na uwakute wanasimuliana udaku sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Na uwakute wanasimuliana udaku sasa[emoji23][emoji23][emoji23]