[emoji23][emoji28]
[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16], una hamu na shuntama eeh??
Aseeeee
[emoji3] [emoji3]Mkuu naona unachimba mkwara kama vile huwa unawanunulia hilo bando wanalotumia kuchati ujinga. Zero marketing strategy!!!
Unapotaka kuwapiga watu be humble na tangaza vizuri tu and you never know unaweza kubahatisha washamba wachache ukawapiga.
Katika Dunia Hii Hakuna Watu Wambeya kama Watu Walio Kwenye Seriously Relationship Hawa Ndio Huwa Watu Wambeya Kuliko Watu Wowote Wale Unaowajua Wewe.
Ila ubuyu ukipewa na Wife unakuwaga mtamu sijui kwanini [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na uwakute wanasimuliana udaku sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
HakikaKukubali unapitia wakati mgumu, ni hatua ya kwanza ya kutatua matatizo hayo