Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu naona unachimba mkwara kama vile huwa unawanunulia hilo bando wanalotumia kuchati ujinga. Zero marketing strategy!!!

Unapotaka kuwapiga watu be humble na tangaza vizuri tu and you never know unaweza kubahatisha washamba wachache ukawapiga.
[emoji3] [emoji3]
 
Katika Dunia Hii Hakuna Watu Wambeya kama Watu Walio Kwenye Seriously Relationship Hawa Ndio Huwa Watu Wambeya Kuliko Watu Wowote Wale Unaowajua Wewe.
Na uwakute wanasimuliana udaku sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ubuyu ukipewa na Wife unakuwaga mtamu sijui kwanini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…