Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumshukuru Mungu tumeamka salama... na kwa wale waliopata mitihani basi ninaomba Mungu awa'afu ikiwa ni maradhi ..awape afya..ikiwa ni mitihani ya dunia basi pia awaonyeshe njia.....na kwa wale ambao hawakuiona Leo wakiwa hai... basi Mungu na awasamehe na kuwapokea viumbe wake wapumzike kwa amani!
na sisi tulio hai basi tujitahid zaid na zaid kumuomba Mungu msamaha maana wakati mwengine tunaingia majaribuni ....
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Amin Rabi Amin, ubarikiwe mkuu binafsi nimeipokea dua'ah yako
 
Back
Top Bottom