moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nashukuru Mungu, vipi mbona unapotea potea sana siku chache hizi?Salama moud, za nane nane ?
Nashukuru Mungu, vipi mbona unapotea potea sana siku chache hizi?Salama moud, za nane nane ?
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Simba wa Rufiji baada ya kumtafuna mbuzi wa watu akajiiongeza na kiungo cha nazi kuimarisha kitoweo chake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 830107
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], eti kwa mfano wanguNataka blanket lililotengenezwa kwamfano wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hawindagi huyu. Kazi yake mara nyingi ni kusaidia saidia tu na KULA...Chimbo la windoView attachment 830125
Kama lipo kama hilo kwenye avataa na mimi nalitaka hilo blanketi dadadeki [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], eti kwa mfano wangu
[emoji23][emoji23][emoji28], Moudgulf kaomba nimtafutie la kufanana nami, wewe je, wataka lipi?Kama lipo kama hilo kwenye avataa na mimi nalitaka hilo blanketi dadadeki [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Ingia humu ndani karibu na banda la safari larger.Kituo cha basi maarufu kabisa cha Nane Nane jijini Mbeya, wapi Andjul