[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tumshukuru Mungu tumeamka salama... na kwa wale waliopata mitihani basi ninaomba Mungu awa'afu ikiwa ni maradhi ..awape afya..ikiwa ni mitihani ya dunia basi pia awaonyeshe njia.....na kwa wale ambao hawakuiona Leo wakiwa hai... basi Mungu na awasamehe na kuwapokea viumbe wake wapumzike kwa amani!
na sisi tulio hai basi tujitahid zaid na zaid kumuomba Mungu msamaha maana wakati mwengine tunaingia majaribuni ....
Nipo Shem majukumu tu yananipotezaUnapotea mno shem. Siyo vizuri hivyo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wale wa mwisho wa reliSiyo Wasukuma [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 829880
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji23]ChigomaBasi wale wa mwisho wa reli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]Chigoma
Aaah Comrade Lee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka blanket lililotengenezwa kwamfano wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23], polee mkuu. Wataka blanket aina ipi? Size gani?
Amin Rabi Amin, ubarikiwe mkuu binafsi nimeipokea dua'ah yakoTumshukuru Mungu tumeamka salama... na kwa wale waliopata mitihani basi ninaomba Mungu awa'afu ikiwa ni maradhi ..awape afya..ikiwa ni mitihani ya dunia basi pia awaonyeshe njia.....na kwa wale ambao hawakuiona Leo wakiwa hai... basi Mungu na awasamehe na kuwapokea viumbe wake wapumzike kwa amani!
na sisi tulio hai basi tujitahid zaid na zaid kumuomba Mungu msamaha maana wakati mwengine tunaingia majaribuni ....
Reli ya TAZARA ama hii kati mkuu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Basi wale wa mwisho wa reli