myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ila wakipenda inakuwa tabu
Adui number 1 wa kichwa kichafu.Siwezi kukutisha love inaongea yenyewe
Mimi sitaki kujua kuhusu chochote ninacho jua zepine ananipenda na ww ni mganga huko kibitCole Williams hivi vyote hajui ndio maana jana uliona mwenyewe kuwa ni mimi au mwingine
Unatumia carbamazepine?Morning Carbamazepine (my medicine)[emoji5][emoji5]
Numbisa una nini lakini leo mbona twatamanishana hivi[emoji102] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
Huku kolomije a.k.a mabibo [emoji102]We unatokea pande zipI ?
Ningeipata mie lolBahati haiji mara mbili ujue?
Hivi Numbisa mbona unatutesa hivi??