Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhani we unafahamu sasa hivi nitakuwa nipo hali gani maana
carbamazepine ....... carbamazepine .........
carbamazepine ..........
Sielewi nini kinachoendelea?Hivi ningekaa mpaka saa 5 si ningejikuta ICU
carbamazepine ....... carbamazepine ......
Kigugumizi na unajua kigugumizi huwa nakipata nikiwa kwenye hali gani.

carbamazepine.......

Umeanza tena mistari??[emoji23] [emoji23] [emoji23] jana si ulinikana wewe??

carbamazepine moyo unajua kabisa moyo wangu upo wapi


carbamazepine ...........

Siulisema upo kwa sammyluv??[emoji125] [emoji125]

Kumbe ulikua unanichora tu eeeh??

carbamazepine usimsikilize huyu mti wenye matunda kila siku unapigwa mawe.

Huyu alinitishia amani alinipa vitisho vingi leo nitasema.


carbamazepine naomba unisikilize

Maana hata wewe unanifahamu vizuri tabia yangu moyo japo wengi wananidhania ni mtu wa aina gani.

Ila wewe ndio unafahamu zaidi

carbamazepine naomba usiwe harsh kiasi hiki

Kwanza jana ilikunya bia gani?mana si kwakunipita kule na kunidolishia wewe na sammyluv [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
038bf374016235d22f82a0929b80b50d.jpg

For sale
 
Back
Top Bottom