andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kwa hiyo Mwakaleli haurudi kabisaaa!!!Atupigepicha mwakabarabara[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila la kheri uliko hamia ila "utatukumbuka" mama...
Kwa hiyo Mwakaleli haurudi kabisaaa!!!Atupigepicha mwakabarabara[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Swali gani tena hilo jirani?
Hawa ni Wanyakyusa [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilicho jifunza, avatar zinawakilisha uhalisia wa umbo la mtumiaji...Kabisa kamanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 830244
Haka kaMrs. De Wayne Wade hakazeeki aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahaNilicho jifunza, avatar zinawakilisha uhalisia wa umbo la mtumiaji...
Yaani Pyaar kisha nichanganya akili kabisa
Uko poa lakini?Hahahahahaha bro bana
Hahah hakazeeki kabsa,, Ila huyu Si ana 40 na zaidi kabsa,,, mbona mgumu Sana huyu dadaHaka kaMrs. De Wayne Wade hakazeeki aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Hayo macho sasa. Akikuangalia tu unapata nyege.
Kijana usinichukulie poa, nina uzoefu na hizo pipi za "kishikizo" kwa kuzitafuna pasi kukijeruhi kishikizo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ugonjwa wangu pia kwa huyu dada,,amebarikiwa macho kiukweli ana macho mazuri sana,, watu wa tanga wanasema macho ya dzain hii ni hadi awe amekula kungu,,,,Hayo macho sasa. Akikuangalia tu unapata nyege.
Duh si mlichokaga bifu nyie jaman jaman watu wasiojulikana wasijenipoteza bureUko poa lakini?
Hivi karibuni yaani kama vile siyo wewe. Limjamaa limekutia ndani au umeokoka? What is going on? I need my tough Rolo Modo back [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Nipo poa kabisaUko poa lakini?
Hivi karibuni yaani kama vile siyo wewe. Limjamaa limekutia ndani au umeokoka? What is going on? I need my tough Rolo Modo back [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana usinichukulie poa, nina uzoefu na hizo pipi za "kishikizo" kwa kuzitafuna pasi kukijeruhi kishikizo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] View attachment 830289
Namshukuru Mungu nipo vizuri. Heri ya sikukuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee hauishiw maneno [emoji23] [emoji23]
Kwema lakini?