capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji28][emoji23][emoji28][emoji28]Kabisa kamanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 830244
[emoji28][emoji23][emoji2][emoji2]Ushaambiwa anaitwa atupigepicha mwakabarabara bado waniuliza kabila?
Jirani[emoji124][emoji124][emoji124]
Shukran mzee wangu!! Na kwako piaNamshukuru Mungu nipo vizuri. Heri ya sikukuu
Hahahaha ndio ututulize sasa[emoji28][emoji28][emoji23][emoji28], tatizo madenti mna mambo mengi.
[emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]Nilicho jifunza, avatar zinawakilisha uhalisia wa umbo la mtumiaji...
Yaani Pyaar kisha nichanganya akili kabisa
[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23], huwezi kumtuliza mtu mpaka aamue kujituliza.Hahahaha ndio ututulize sasa
Hahaha wewe Prof kiboko[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23], huwezi kumtuliza mtu mpaka aamue kujituliza.
[emoji4] [emoji4]