Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
carbamazepine nisaidie kufungua code yaan sijaelewa kabisaaaaa
umbea na code mnakumbuka yule kigogo nilie mpost kuwa anafanya kazi karibu yani begakwabega na yule mama wa visiwani alikuwa na mchepuko na alikuwa anajiachia kama kawaida kila sehemu. Basi inasemekana kaoa kabisaaa na mchepuko ambae ni mke kwa sasa amemuweka ktk dp hapa instagram mdomo huu 😩😩😩😷😷😷 kabla mdomo haujakoma inasemekana pia kigogo katolewa ktk ofisi ya mama wa visiwani kawekwa ktk ofisi ya #msukumaa nahamia Kenya rasmii nnacho kitafuta nitakipat