Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Inasemekana kuwa Usmanov ndiye alikuwa wa kwanza kujaribu kununua hisa zote zote kwa mahasimu wake sasa ataweka kibindoni kiasi cha Dola milioni 550 kama gawio lake. KSE na Delaware kwa pamoja ambayo inamilikiwa na Bw. Stanley Kroenke kwa sasa wanamiliki hisa zaidi ya 41,000 ambazo zinakadiriwa kuwa ni sawa na asilimia 67.09 ya hisa zote za Arsenal.