[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42].
Endeleeni kula likes.....Mungu akijalia kesho nayo siku.
carbamazepine nisaidie kufungua code yaan sijaelewa kabisaaaaa
umbea na code mnakumbuka yule kigogo nilie mpost kuwa anafanya kazi karibu yani begakwabega na yule mama wa visiwani alikuwa na mchepuko na alikuwa anajiachia kama kawaida kila sehemu. Basi inasemekana kaoa kabisaaa na mchepuko ambae ni mke kwa sasa amemuweka ktk dp hapa instagram mdomo huu [emoji30][emoji30][emoji30][emoji40][emoji40][emoji40] kabla mdomo haujakoma inasemekana pia kigogo katolewa ktk ofisi ya mama wa visiwani kawekwa ktk ofisi ya #msukumaa nahamia Kenya rasmii nnacho kitafuta nitakipat
Wasemezya wasu!Unagilemu Subhati!
[emoji2][emoji23][emoji23]Yaani kamekuwa kama ka foster kid humu! Mungu anawaona! [emoji1][emoji1]
Sijambo poti marahabaaaaaaaaaa,mzima?Mama ubuyu, hujambo? [emoji23][emoji23]
Sijambo poti marahabaaaaaaaaaa,mzima?
Hahahah kujiwah muhimu,huku ni shwari kabisa[emoji1][emoji1][emoji1] Kwa kujiwahi sasa. Mimi sijambo kabisa, niaje huko uliko?