[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42].
Endeleeni kula likes.....Mungu akijalia kesho nayo siku.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] AMUN RA
Heri iwe hivyo, kufanya kazi na Morinho inataka moyo[emoji3] [emoji3]Kiungo wa kati wa Machester United raia wa Ufaransa Paul Pogba amewaaambia wachezaji wenzake kuwa anataka kuhama Old Trafford na kujiunga na Barcelona.
Hahaha umesoma huo Uzi mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] AMUN RA
Heh,, kumbe EPL weekend hii?? Muda wa kumpiga Mhindi umewadia sasa[emoji39] [emoji39]Arsenal itaanza ligi wikiendi hii kwa kuwakaribisha Manchester City nyumbanbi kwao, Emirates. Ikumbukwe kuwa Arsena wameshindwa kuwafunga Manchester City katika michezo 5 ya hivi karibuni kwa kufungwa michezo 3 na kutoa sare 2. Kwa hiyo, Arsenal itakuwa na mlima mrefu wa kupanda ikiwa chini ya kocha wake mpya, Unai Emery.
Wazungu bana. Si wale ugali tu na mabele maliboto? Spemu kaunti mai foot [emoji16][emoji16][emoji16]Boxers have long been thought to be better for men's fertility. Now, a new study from Harvard makes it close to official.
Boxers or briefs? For sperm count, one is better, study finds