Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Wazungu bana. Si wale ugali tu na mabele maliboto? Spemu kaunti mai foot [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimependa hiyo chupi ya njano.Boxers have long been thought to be better for men's fertility. Now, a new study from Harvard makes it close to official.
Boxers or briefs? For sperm count, one is better, study finds
Insomnia eeh??Aiseee
Huu uzi alianzisha isis nini?
Mmh mbona code ngumu?carbamazepine na hapa pia
umoja wa wauza nguo za stara nguo za kheshima wadada wamujini wamevurugana kisa mmoja wao ndio anajidai ni boss na boss kuonekana mfanyakazi. Mambo yakustiriana yamewashinda huku mlimbwende alie tamba saana miaka ya 2007 hadi 2010 kama cjasahau ktk matangazo na maswala ya ulimbwende kustopishwa kuuza nguo hizo ambazo huwa anazitolea matangazo (picha nyingi hupiga mlangoni na nguo hizo humpendeza saana kusema kweli mashaallah) . Chanzo kimenidokeza kuwa pamoja na kufarakana na wafanya biashara wenzie matatizo yamezidi kumuandama mlimbwende huyo huku akidaiwa mamilioni ya feza na inasemekana mumewe anae ishi kwao na nillan dangote wameachana in short ndoa imekuwa ndoano na mdomo komaaaaa
Nimesoma comments zote na sijapata kitu,code ngumucarbamazepine nisaidie kufungua code yaan sijaelewa kabisaaaaa
umbea na code mnakumbuka yule kigogo nilie mpost kuwa anafanya kazi karibu yani begakwabega na yule mama wa visiwani alikuwa na mchepuko na alikuwa anajiachia kama kawaida kila sehemu. Basi inasemekana kaoa kabisaaa na mchepuko ambae ni mke kwa sasa amemuweka ktk dp hapa instagram mdomo huu [emoji30][emoji30][emoji30][emoji40][emoji40][emoji40] kabla mdomo haujakoma inasemekana pia kigogo katolewa ktk ofisi ya mama wa visiwani kawekwa ktk ofisi ya #msukumaa nahamia Kenya rasmii nnacho kitafuta nitakipat
Nimependa hiyo chupi ya njano.
Kwani mlikuwa hamjui kwamba bwana abdalah hatakiwi kubanwa??[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23]Si nyie wajuvi wa mambo bado mlikuwa mnafanya utafiti? Hiyo rangi ya njano mimi siipendi bana! [emoji1][emoji1]
Mmmmmmh!Happy morning,[emoji274][emoji274]
What is the secret to WORK?
Find a work that gives you inner expression. You will find fulfilment in it. Make the world recognise the value you create through your work, you will find success in it.
Be grateful for having found inner expression through which you were able to find your success, you will find GOD through your WORK.
Make this work of your useful to the world, you will find your life's purpose in it.
Wishing you most & more
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unapenda rangi gani??
Hivi kuna wanaume bado wanavaa chupi siku hizi??
Tena mimi nawashauri hata boxa msivae vaeni misuli tu
Never judge others, because you don't know the depth of their scar.
Smiling is the best way to face every problem. [emoji847]
Whenever you see a successful person you only see the public glories, but rarely the private sacrifices that it took to reach them.
Be thankful for all the struggles you go through. They make you stronger, wiser and humble. Don't let it break you let it make you.
Attitude is a choice. Happiness is a choice. Optimism is a choice. Kindness is a choice. Giving is a choice. Respect is a choice. Whatever choice you make makes you. Choose wisely.
Stop stressing over things you can't control or change. Overthinking leads to negative thoughts. Be grateful and focus on the positive.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]